Jamii ya wakenya wanao ishi mjini Sydney, NSW walishuhudia historia ikiandikwa jioni ya Jumapili 28 Juni 2026 timu mpya ya mpira wa miguu ya kina dada ilipo cheza mechi yao ya kwanza katika uwanja wa Rydalmere.
Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa
Timu ya Kenya Starlets ili cheza dhidi ya timu ya kina dada ya Mashujaa kati mechi yakusisimua mno. Licha ya mwanzo chanya wa Kenya Starlets, timu ya Mashujaa ili shinda mechi hiyo kwa magoli tano bila jibu.
Muda mfupi baada ya mechi hiyo, SBS Swahili ilizungumza na nahodha wa Mashujaa Bi Chiry pamoja na nyota mshambuliaji wake Bi Mel.
Bofya hapo juu kwa mahojiano kamili.
Share






