Uhispania na Ubelgiji zimefuzu kwa robo fainali, wakati ndoto za Kombe la Dunia za wenyeji Marekani na Ureno ya Cristiano Ronaldo ziki gonga miamba.
Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa
Mjini Seattle kulikuwa umakini mwingi kabla ya kuanza kwa mechi kati ya Marekani na Ubelgiji, baada ya FIFA kupindua adhabu ya kadi nyekundu ya mshambuliaji wa Marekani, Folarin Balogun, na kumruhusu kucheza licha ya ukosoaji mkubwa wa uamuzi huo. Ubelgiji iliweka kando haraka utata huo, iki andika ushindi wa 4-1 na kuwaondoa wenyeji wenza wa mwisho waliobaki katika michuano hiyo.
Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.






