Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Makala Leo: Wiki ya NAIDOC ni nini, na nini kimejificha nyuma ya kauli mbiu ya mwaka huu?

Nicole Smede, mwanachama wa kwaya ya  Mudjingaal Yangamba na mratibu wa tamasha ya wiki ya NAIDOC.

Maadhimisho ya Wiki ya NAIDOC ya Kitaifa yanafanyika kote nchini Australia wiki hii, kwa ajili ya kusherehekea na kutambua historia, utamaduni na mafanikio ya watu wa Asili na wakaazi wa Visiwa vya Torres Strait.


Published

By Angelica Waite

Presented by Gode Migerano

Source: SBS



Share this with family and friends


Maadhimisho ya Wiki ya NAIDOC ya Kitaifa yanafanyika kote nchini Australia wiki hii, kwa ajili ya kusherehekea na kutambua historia, utamaduni na mafanikio ya watu wa Asili na wakaazi wa Visiwa vya Torres Strait.


Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa

Kaulimbiu ya mwaka huu ni 'Miaka Hamsini ya Mauti', ikiadhimisha zaidi ya miongo mitano ya Wiki ya NAIDOC.

Wajumbe wa Kamati wanasema hatua hiyo muhimu inatoa nafasi ya kuwaenzi waliojenga harakati za NAIDOC, na kuzingatia kile ambacho bado kinahitaji kubadilika.

Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now