Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Makamishna wawili kuongoza uchunguzi katika Wilaya ya Kaskazini baada ya Hakimu Martin kujiuzulu

Bw Mick Gooda, Kamishna wa haki za jamii zawa Aboriginal na Torres Strait Islanders katika tamasha ya Garma, Arnhem Land
Bw Mick Gooda, Kamishna wa haki za jamii zawa Aboriginal na Torres Strait Islanders katika tamasha ya Garma, Arnhem Land Source: AAP

Makamishna wawili wata ongoza uchunguzi wa gereza la vijana la wilaya ya kaskazini, baada ya hakimu mkuu wa wilaya ya Kaskazini Brian Ross Martin aliye kuwa ame teuliwa kuongoza uchunguzi huo kujiuzulu.


Published

Updated

By SBS Swahili

Source: SBS



Share this with family and friends


Makamishna wawili wata ongoza uchunguzi wa gereza la vijana la wilaya ya kaskazini, baada ya hakimu mkuu wa wilaya ya Kaskazini Brian Ross Martin aliye kuwa ame teuliwa kuongoza uchunguzi huo kujiuzulu.


Mwanasheria mkuu wa Australia George Brandis ametangaza kuwa kamishna wa haki za jamii kutoka jumuiya yawa Aboriginal na Torres Strait Islanders Mick Gooda, ata shirikiana na jaji wa zamani wa mahakama kuu ya Queensland Margaret White.

 

 


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now