Scott Morrison at his first COAG meeting in Adelaide. Source: AAPMkutano wa majuzi kati ya viongozi wamajimbo na serikali ya taifa, uli lenga viwango vya uhamiaji nchini Australia.
Published
By Sunil Awasthi
Presented by Gode Migerano
Source: SBS
Skip to podcast episode content
Share this with family and friends
Mkutano wa majuzi kati ya viongozi wamajimbo na serikali ya taifa, uli lenga viwango vya uhamiaji nchini Australia.
Wakati serikali ya shirikisho huweka viwango vya uhamiaji, mahitaji na matakwa ya serikali za wilaya nama jimbo kwa swala hilo, yame ibuka.