Waislamu kote nchini Australia wameshiriki katika sherehe zaki historia za Eid.
Bw Jay alieleza Idhaa ya Kiswahili ya SBS, kuhusu sherehe hizo zakihistoria za Eid, ambazo zime zua hisia mseto katika jamii yawa Islamu nchini Australia na duniani kote.
Share






