Jamii kutoka tamaduni tofauti kuamua matokeo ya uchaguzi mkuu

Wa Australia kutoka jamii zatamaduni tofauti, washiriki katika tamasha ya siku kuu ya Australia Source: AAP
Maeneo bunge yenye wakazi kutoka tamaduni tofauti, yatakuwa na jukumu muhimu laku amua matokeo ya uchaguzi mkuu wa shirikisho.
Share