Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo yamkumbuka Muhammad Ali

Mohammad Ali akiwasalimia mashabiki wake mjini Kinshasa siku chache kabla yaku pambana na George Foreman mjini humo
Mohammad Ali akiwasalimia mashabiki wake mjini Kinshasa siku chache kabla yaku pambana na George Foreman mjini humo Source: AP

Raia wa jamuhuri ya kidemokrasia ya congo wanaendelea kumkumbuka, aliyekuwa bondia wa kwanza maarufu mwenyi asili ya Kiafrika, Muhammad Ali, wa Marekani aliyefariki jumamosi iliopita (4Juni2016) akiwa na umri wa miaka 74.


Published

Updated

By SBS Swahili

Source: SBS



Share this with family and friends


Raia wa jamuhuri ya kidemokrasia ya congo wanaendelea kumkumbuka, aliyekuwa bondia wa kwanza maarufu mwenyi asili ya Kiafrika, Muhammad Ali, wa Marekani aliyefariki jumamosi iliopita (4Juni2016) akiwa na umri wa miaka 74.


Nizaidi yamiaka arobaini na mbili sasa tangu lilipofanyika pambano la ndondi lililo wakutanisha Mohammed Ali na George forman katika uwanja wa kitaifa TATA RAPHAEL mjini Kinshasa, katiaka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo. Wakati huo ikijulikana kama ZAIRE. Ni mchezo ambao ulijulikana kama "Rumble in the jungle". Pambano hilo lili ingia katika vitabu vya historia na Mohammad Ali, akawashangaza wengi kwa kuibuka na ushindi dhidi ya Foreman ambaye mpaka wakati huo alikuwa hajawahi kushindwa ulingoni. Ali alifariki katika jiji la Phoenix Arizona, baada ya kulazwa hospitalini.

Mwandishi wetu BYOBE MALENGA alituandalia taarifa ifuatayo kutoka BUKAVU, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo

 


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now