Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Mamlaka D R Congo wahamasishwa wachukue hatua dhidi ya uajiri wa watoto migodini

Watoto wakitafuta madini mgodini
Watoto wakitafuta madini mgodini Source: Getty Images

Published

Updated

By SBS Swahili

Source: SBS



Share this with family and friends


Mashirika ya kutetea haki za watoto yanalaumu serikali ya nchi hiyo, kwa kutochukua hatua madhubuti dhidi ya mashirika ya kuchimba madini yanayoajiri watoto hasa katika mikoa ya kivu ya kaskazini na Kivu ya Kusini.

Jimbo la Kivu Kusini ni moja ya maeneo yenye utajiri mkubwa wa madini ambapo idadi kubwa ya watoto wanafanya kazi ya uchimbaji katika migodi. Ripota wetu BYOBE MALENGA alitembelea mji wa Kamituga ,na kushuhudia hali ilivyo na hii hapa taarifa yake.

 

 


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now