Wakati athari za janga la coronavirus zinakaba sehemu za uchumi, taarifa mpya imemulika kiwango cha magumu yanayo wakabili wahamiaji wa muda nchini Australia.
Mwito mpya umeihamasisha serikali ya shirikisho iongeze msaada wake, kufuatia kutolewa kwa takwimu zinazo zua hofu ambazo, zimeweka wazi madhara kwa watu ambao wako hatarini.
Unaweza endelea kupata taarifa mpya kuhusu coronavirus katika lugha yako kwenye tovuti hii: sbs.com.au/coronavirus
Share






