Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Mataifa yaliyo endelea yahamaishwa yalegeze mzigo wa huduma za wakimbizi kwa mataifa yasiyo jiweza

Wakimbizi ndani ya kambi
Wakimbizi ndani ya kambi Source: UNHCR

Swala la wakimbizi na wahamiaji limekuwa linakuna vichwa vya viongozi duniani. Hivi karibuni, viongozi wa dunia walikutana mjini New York Marekani katika kongamano la Umoja wa Mataifa kuangazia maswala ya wakimbizi na wahamiaji.


Published

Updated

By SBS Swahili

Source: SBS



Share this with family and friends


Swala la wakimbizi na wahamiaji limekuwa linakuna vichwa vya viongozi duniani. Hivi karibuni, viongozi wa dunia walikutana mjini New York Marekani katika kongamano la Umoja wa Mataifa kuangazia maswala ya wakimbizi na wahamiaji.


Imedhihirika wazi kuwa msaada kwa wakimbizi umekuwa unapungua siku hadi siku.

Mataifa tajiri yamehimizwa kuchangia pakubwa ili kustaawisha wakimbizi walioko katika nchi zinazoendelea na zile zenye migogoro.

Muandishi wetu wa Burundi Ramadhani KIBUGA ametembelea kambi ya Kavumu ikiwa ni moja ya kambi za wakimbizi wa Jamhuri ya Kidemokaria ya Congo ilioko mashariki mwa Burundi katika mkoa wa Cankuzo nakuzungumza na baadhi ya wakimbizi wanao ishi kambini humo.

 

 


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now