Chanjo za kwanza za coronavirus za AstraZeneca zawasili katika uwanja wandege wakimataifa wa Sydney, Jumapili, 28 Februari, 2021. Source: AAPAustralia imerekodi siku nyingine bila kuwa na kesi ya maambukizi yoyote ya virusi ndani ya jamii.
Published
By Karishma Luthria
Presented by Gode Migerano
Source: SBS
Skip to podcast episode content
Share this with family and friends
Australia imerekodi siku nyingine bila kuwa na kesi ya maambukizi yoyote ya virusi ndani ya jamii.
Wakati wa Australia wengi wanatarajia kupokea chanjo ya AstraZeneca, dozi kadhaa za chanjo hiyo zime wasili tayari mjini Sydney.
Kwa hatua za afya na misaaada inayotolewa katika jibu la janga la COVID-19 katika lugha yako, tembelea tovuti hii: sbs.com.au/coronavirus