Dr Nadine ni mmoja wa wanabodi 7 wanao ongoza shirika la Afrika Diaspora Co-operative (ADC).
Alipo zungumza na SBS Swahili, Dr Nadine alifunguka kuhusu sababu yaku anzisha shirika la ADC, umuhimu wa kuwa mwanachama pamoja na maandalizi ya uzinduzi wa ADC utakao fanywa Jumamosi 26 Julai kuanzia saa nane mchana, katika ukumbi wa Granville Centre, 1 Memorial Drive, Granville, New South Wales.
Kwa maelezo ya ziada kuhusu ADC, tembelea mitandao yao ya kijamii na tovuti yao.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.