Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Dr Ricky atuchambulia mechi kubwa ya soka

site_197_Swahili_471716.JPG

Mtangazaji Frank Mtao wa SBS Swahili, alifanikiwa kuongea na mchambuzi wa soka maarufu Dr. Ricky Abdallah ambaye aliichambua mechi kubwa ya usiku huu kati ya Chelsea dhidi ya Manchester United.

Published

Source: SBS

Share this with family and friends

Mtangazaji Frank Mtao wa SBS Swahili, alifanikiwa kuongea na mchambuzi wa soka maarufu Dr. Ricky Abdallah ambaye aliichambua mechi kubwa ya usiku huu kati ya Chelsea dhidi ya Manchester United.

Dr. Ricky, alikuwa akiongea kwa njia ya simu moja kwa moja kutoka Dar es Salaam ambapo ni moja ya miji yenye mashabiki wengi wa timu hizi mbili za soka katika Afrika Mashariki.

Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now