Nchi zinazoendelea bado pia ziko kwenye mapambano ya janga hili la COVID - 19. Mataifa mengi yatayumba kiuchumi, swali ni je yatajiinua vipi kurudi kwenye hali yake ya kawaida?
Haya hapa mazungumzo tuliyofanya na mtaalamu wa masuala ya fedha Bwana Juma Rashidi ambaye alitoa uchambuzi mzuri kuhusiana na hilo.
Share





