Wanafunzi wakimbizi wanajenga upya maisha yao nchini Australia kupitia mpango mpya wa majaribio ya makazi, unaounganisha masomo yao ya chuo kikuu na viwanda ambapo kuna uhaba mkubwa wa wafanyakazi kama vile uuguzi.
Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa
Mpango huo umefanikishwa kwa ushirikiano wa mashirika yasiyo ya faida, vyuo vikuu na biashara za Australia.
Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.
Share






