Waigizaji hao walichangia maoni yao kuhusu filamu hiyo, na shinikizo ambayo sekta ya filamu nchini Australia ina kabiliana nayo kujumuisha waigizaji kutoka tamaduni tofauti.
Filamu ya Irreversible Choices ita zinduliwa tarehe 9-7-2016, kwa maelezo zaidi tembelea tovuti hii:
www.eventbrite.com.au/e/irreversiblechoices
Share





