Faida na hatari zaku nunulia bidhaa mtandaoni

Internet crime and electronic banking security

Stealing a credit card through a laptop concept for computer hacker, network security and electronic banking security Source: Getty / Getty Images

Hatakama kuemelea mtandaoni huwapa watumiaji faida kama, urahisi na punguzo, ila hatua hiyo pia huja na hatari nyingi.


Ingawa wauzaji wengi halali wa mtandaoni hukusanya data zawatumiaji, walaghai nao wanachukua fursa ya ongezeko ya biashara ya mtandaoni, kuwalenga wa Australia ambao wako katika mazingira magumu.

Ingawa si lazima kuwasiliana na polisi, wakati mwingine kufanya hivyo kunaweza saidia, haswa kama mlaghai yuko nchini Australia.




Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service