Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Matokeo ya uchaguzi wa jimbo la WA yaendelea kuzua machungu

Kiongozi wa chama cha One Nation Pauline Hanson baada ya matokeo ya uchaguzi wa jimbo la Magharibi Australia
Kiongozi wa chama cha One Nation Pauline Hanson baada ya matokeo ya uchaguzi wa jimbo la Magharibi Australia Source: Picha: AAP

Wakati hesabu ya ina endelea katika viti vinavyo salia Magharibi Australia, chama cha One Nation kinaonekana kuwa kime feli kutimiza matarajio yake.


Published

Updated

By SBS Swahili

Source: SBS



Share this with family and friends


Wakati hesabu ya ina endelea katika viti vinavyo salia Magharibi Australia, chama cha One Nation kinaonekana kuwa kime feli kutimiza matarajio yake.


Hata hivyo kiongozi wa chama hicho Pauline Hanson anaendelea kuwa na matumaini kuhusu uwezo wa chama chake kushinda kiti kimoja au viwili katika nyumba ya juu ya bunge.

Wakati huo huo wanachama wa serikali ya shirikisho wame endelea kujiweka mbali na chama cha Liberal ambacho kime shindwa katika uchaguzi wa magharibi Australia.

 

 

 


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now