Wanachama wa Liberal washirikisho wame anza fikiria iwapo wanahitaji, badili jinsi wanavyo fanya kampeni, uchaguzi mkuu wa taifa unapo karibia.
Wimbi hilo la wasi wasi limejiri baada ya matokeo mabaya katika uchaguzi kwa chama cha Liberal jimboni Victoria, nakuzua maswali jinsi miezi sita ijayo itakavyo kuwa katika kampeni ya shirikisho.
Share






