Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Fiji yaanza shughuli za ukarabati baada ya pigo baya la kimbunga

Mathara ya kimbunga mjini Ba, Fiji
Mwathirika wa kimbunga atazama jinsi kimbunga kilivyo bomoa nyumba yake Source: AAP

Mamlaka nchini Fiji ina endelea kuchunguza viwango vya uharibifu baada ya taifa hilo kukabiliwa kwa vimbunga vikali katika historia ya ukanda wa kusini mwa ulimwengu. Imeripotiwa kuwa idadi ya watu 10 wame uawa na vimbunga hivyo. Amri ya kutotoka nje nchini kote ili ondolewa jana (jumatatu), wakati watawala wali kuwa waki endelea na shughuli zaku fungua barabara muhimu na uwanja wa ndege.

Published

Updated

By SBS Swahili

Source: SBS

Share this with family and friends

Mamlaka nchini Fiji ina endelea kuchunguza viwango vya uharibifu baada ya taifa hilo kukabiliwa kwa vimbunga vikali katika historia ya ukanda wa kusini mwa ulimwengu. Imeripotiwa kuwa idadi ya watu 10 wame uawa na vimbunga hivyo. Amri ya kutotoka nje nchini kote ili ondolewa jana (jumatatu), wakati watawala wali kuwa waki endelea na shughuli zaku fungua barabara muhimu na uwanja wa ndege.

Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now