Sekta ya biashara ndogo nchini Australia huchangia bola bilioni 340 katika uchumi wa taifa, pamoja naku ajiri idadi yawa Australia wapatao milioni 4.5.
Kwa mujibu wa takwimu idadi ya biashara ndogo nchini Australia inazidi milioni 2.
Ila, mafanikio yazo maranyingi huamuliwa katika miaka yazo ya kwanza.
Share





