Idhaa ya Kiswahili ya SBS ili hudhuria sherehe iliyo andaliwa na shirika la Great Lakes Agency for Peace and Development (GLAPD) mjini Sydney Australia
Mwenyekiti wa GLAPD Bw Emmanuel Musoni, alizungumzia miradi ambayo shirika lake ita fanya mwaka. Kwa maelezo zaidi kuhusu GLAPD, tembelea tovuti yao:
www.glapd.com
Share





