Serikali ya regeza masharti ya viza kwa wafanyakazi wakigeni katika sekta ya kilimo

wafanyakazi wa msimu katika kiwanda cha matunda

wafanyakazi wa msimu katika kiwanda cha matunda Source: AAP

Serikali ya shirikisho imesema itaregeza masharti, kwa wafanyakazi wa kigeni wanaofanya kazi mashambani, ikiwa ni sehemu muhimu ya kumaliza tatizo la uhaba wa wafanyakazi hao.


Shirikisho la Taifa la Wafanyakazi, ambalo huwakilisha wakulima nchini, limekaribisha mabadiliko hayo, lakini Umoja wa Wafanyakazi Australia, umeonyesha wasiwasi wake juu ya mageuzi hayo, wakidai kuwa, yanaweza sababisha unyonyaji zaidi kwa wafanyakazi wa kigeni.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service