Serikali yakata msaada kwa wakimbizi 100 Australia
Waandamanaji wakiomba vizuizi vya PNG na Nauru vifungwe Source: Getty Images
Serikali ya shirikisho ime anza maandalizi yaku kata msaada waki fedha kwa idadi ya wakimbizi 100, walio letwa nchini Australia kutoka vizuizi nje ya nchi kupokea matibabu.
Share




