Je serikali imezua vita dhidi ya wanafunzi kupitia bajeti?

Mweka hazina Scott Morrison na Waziri Mkuu Malcolm Turnbull kabla yakutangaza bajeti ya 2017-18 Source: Picha:AAP
Chama cha wanafunzi kime ahidi kukabiliana na serikali ya shirikisho, baada ya seriklai kuamua kubadili uwekezaji kwa elimu na mfumo wa malipo ya mkopo wa elimu ya vyuo kwa jina la HECS.
Share




