Ripoti hiyo ime jumuisha tathmini na mapendekezo yaku boresha ushirikiano kati ya Australia na Afrika. Uzinduzi wa ripoti hiyo ulifuatwa na mjadala wa jopo ulio jadili baadhi ya maswala ambayo huenda yata kuwa muhimu katika uhusiano kati ya Australia na Africa.
SBS Swahili ili zungumza na Mh. Isaiya Kabira Balozi wa Kenya nchini Australia na New Zealand.
Share





