Kuna hofu wafanyakazi wanao jumuika katika sekta ya huduma ya uzeeni na ulemavu, wanaweza kuwa wanasambaza COVID-19 katika jamii yawalemavu.
Tume yakifalme yawalemavu ilisikia ushahidi kuwa watu wenye ulemavu, wana ogopa kubaguliwa hususan katika swala lamatibabu.
Kwa sasa kuna wafanyakazi 80 na washiriki 37 walio ambukizwa COVID-19 katika sekta hiyo, takriban wote wakiwa jimboni Victoria.
Na unaweza endelea kupata taarifa mpya kuhusu coronavirus katika lugha yako kwenye tovuti hii: sbs.com.au/coronavirus
Share






