Waislamu nchini Tanzania na duniani kote, wanashiriki katika mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Sheikh Musa kutoka jamuiya ya Watanzania NSW, aliielezea idhaa ya Kiswahili ya SBS kuhusu umuhimu wa mfungo wa Ramadhani kwa waislamu nchini Australia na duniani kote, pamoja na taratibu za kufuturu baada ya kufunga siku nzima.
Share






