Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Wazazi wanapashwa kuwa na kiwango kipi cha ushawi katika ajira ya wanao?

Bruce Kamau akisherehekea goli dhidi ya Western Sydney Wanderers katika fainali ya kombe la A-League
Bruce Kamau akisherehekea goli dhidi ya Western Sydney Wanderers katika fainali ya kombe la A-League Source: Getty Images

Published

Updated

By SBS Swahili

Source: SBS



Share this with family and friends


Bw Ngatia alizungumzia umuhimu wa wazazi kutengeza mazingira chanya ambako wanao wanaweza fuata ndoto zao, pamoja nakupata mwongozo katika ajira wanazo pendelea.
Bruce Kamau akiwa katika mazoezi ya Adelaide United
Bruce Kamau akiwa katika mazoezi ya Adelaide United Source: Getty Images

Bw Ngatia anatumai mafanikio ya mwanawe yatawapa vijana waki afrika moyo pamoja nakuwaongezea imani kuwa nao pia wanaweza fanikiwa iwapo wata ongeza bidii katika kila kitu wanacho fanya.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now