Bajeti ya 2017-18 itakuathiri vipi?
Federal budget 2017 Source: Picha AAP
Masaa machache kabla ya bajeti ya 2017-18 kusomwa, SBS Swahili ilizungumza na mwanauchumi kuhusu, jinsi bajeti hiyo mpya ita wa athiri wa Australia. Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.
Share




