Bajeti ya shirikisho itashawishije uchaguzi wa shirikisho?

Bajeti ya shirikisho ya 2019 Source: SBS News
Serikali ya shirikisho imetangaza bajeti yake ya taifa, na chama cha shirikisho cha Labor nacho pia kime toa jibu kwakutoa bajeti yake. Je bajeti hizo mbili zita kuwa na ushawishi upi kwa wapiga kura, katika uchaguzi mkuu ujao?
Share