Bofya hapo chini utazame mahojiano tuliyo fanya na Bw Ken.
Niko tayari kushinda michuano ya Outback Marathon
Mwanariadha Ken azungumzia michuano ya Outback Marathon ndani ya studio za SBS Source: SBS Swahili
Bw Ken amesafiri maelfu ya kilomita kushiriki katika michuano ya Outback Marathon Australia. Licha ya uchovu wa safari Ken kutoka shirika la So They Can amesema yuko tayari kuwaonesha wapinzani wake visigino.Bofya hapo juu usikize mahojiano na Ken
Share




