Sikuweza kumpokea mpenzi wangu Uwanja wa ndege kwa sababu ya pombe

Genetic changes may cause heavy drinkers and binge drinkers to crave alcohol more than others do. Source: AAP
Pombe inaweza kukufanya ukacharuka na kukuongoza kufanya tabia ambazo si za kawaida. Unaweza kufanya uhalifu, kutenda tabia zisizofaa au kufanya jambo lenye aibu. Tabia yako inaweza kuathiri urafiki wako, kazi yako na familia yako. Sikiliza yale mwanachama wa jumuiya ya uhamiaji aliyokumbana nayo kwa sababu ya pombe.
Share