Nilishuhudia rafiki yangu akichomwa kisu kwa sababu ya pombe

alcoholic addiction Source: iStockphoto
Siwezi kuamini kile kilichotokea kwa rafiki yangu, mbele ya macho yangu, haya yote kwa sababu ya pombe. Wahamiaji wanaendelea kufunguka kuhusu madhara ya pombe.
Share