Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Mwenyekiti wa IEBC: Uchaguzi ujao utakuwa huru nawa haki

Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ya Kenya (IEBC) Ahmed Isaack Hassan
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ya Kenya (IEBC) Ahmed Isaack Hassan Source: SBS Swahili

Mwenyekiti wa Tume huru ya uchaguzi na mipaka ya Kenya, Bw Ahmed Issack Hassan, alifanya ziara nchini Australia kuchunguza mchakato wa uchaguzi mkuu.


Published

Updated

By SBS Swahili

Source: SBS



Share this with family and friends


Mwenyekiti wa Tume huru ya uchaguzi na mipaka ya Kenya, Bw Ahmed Issack Hassan, alifanya ziara nchini Australia kuchunguza mchakato wa uchaguzi mkuu.


Bw Hassan alizungumzia changamoto zinazo ikabili tume ya IEBC nchini Kenya, akijumuisha pendekezo za suluhu ambazo anatumai zitawaridhisha wanachama wa upinzani, ambao wame kuwa waki endesha kampeni yakumshinikiza ajiuzulu.

Kwa maelezo ya ziada kuhusu tume ya IEBC, tazama tovuti hii:

www.iebc.or.ke


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now