Wenyeji wana dai vyombo vya habari vyakimataifa pamoja na mashirika yakimataifa vimewasaliti. Hisia hizo ni tofauti na zile za wenyeji katika maeneo mengine ambayo yamekumbwa na majanga, ambako jumuiya yakimataifa hufika kwa haraka kutoa msaada.
SBS Swahili ilizungumza na mwandishi we BBC Swahili Sammy Awami akiwa katika eneo husika.
Share





