Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Tanzania kuruhusu uraia pacha?

Mh Sosi Msomi, Konsali wa heshima wa Tanzania nchini Australia
Mh Sosi Msomi, Konsali wa heshima wa Tanzania nchini Australia Source: Picha: SBS Swahili

SBS Swahili ilizungumza na Konsali wa heshima wa Tanzania nchini Australia Mh Sosi Msomi.


Published

Updated

By SBS Swahili

Source: SBS



Share this with family and friends


SBS Swahili ilizungumza na Konsali wa heshima wa Tanzania nchini Australia Mh Sosi Msomi.


Mh Msomi alizungumzia majukumu yake kama mwakilishi wa serikali ya Tanzania, alizungumzia pia mada tata ya uraia pacha pamoja na swala la watanzania wanao ishi Australia, kushiriki katika mchakato wasiasa na upigaji kura wa nchi yao.

Bonyeza hapo juu, kusikiza mahojiano kamili.

 


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now