Jamii zawahamiaji katika miji yamipakani zapata taabu kupata taarifa mpya

Kampeni yakitaifa yazinduliwa kutoa taarifa kuhusu  COVID-19

Kampeni yakitaifa yazinduliwa kutoa taarifa kuhusu COVID-19 Source: SBS

Baadhi yajamii katika maeneo yampaka kati ya New South Wales na Victoria ambao kwa sasa umefungwa, wanapata taabu kupata taarifa kuhusu COVID-19 katika lugha zao.


Wakazi kutoka mazingira ya uhamiaji katika miji pacha ya Albury na Wodonga, ambayo imegawanywa na mpaka wameripoti uwepo wa hali yakuchanganikiwa, pamoja nakuchelewa kupokea taarifa kwa muda wa hadi masaa 36.

Wakati huo huo serikali ya New South Wales imedokeza uwezekano wakuweka vizuizi vikali zaidi, kwa miji ambayo iko katika eneo la mpaka wake na Victoria.

Hatakama kiongozi wa New South Wales Gladys Berejiklian amesema, seriklai yake itasubiri kutekeleza hatua hiyo kwa sasa, amesema hali ya "tahadhari inaendelea kuwa juu".


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service