Je! Chanjo ya Uviko-19 ni salama kwako?

A pharmacist loads up injections of the Moderna COVID-19 vaccine at Cooleman Court Pharmacy in Canberra

A pharmacist loads up injections of the Moderna COVID-19 vaccine at Cooleman Court Pharmacy in Canberra Source: AAP

Wakati takwimu za watu ambao wamepokea chanjo nchini zina endelea kuongezeka, watu wengi wanaendelea kuwa na mashaka kuhusu chanjo za Uviko-19 mashaka hayo yakisababishwa na dhana na taarifa potovu kuhusu chanjo hizo.


Kukabiliana na baadhi ya dhana hizo potovu, viongozi wa jamii yawatanzania wanao ishi Victoria, wali waalika wataalam wa afya katika mkutano maalum, ambako walitoa taarifa kuhusu Uviko-19, chanjo husika pamoja nakujibu maswali ya wanajumuiya.

Masaa machache baada ya mkutano huo, kiongozi wa jamii hiyo Habib Chanzi, alieleza idyaa ya Kiswahili ya SBS, jinsi mkutano na taarifa iliyo tolewa na wataalam hao wa afya ilivyo pokewa na wanajumuiya walio shiriki.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service