Je! ni masaibu gani watu wakaribu wa walio patwa na COVID-19 hupitia?

Afisa afanya ufuatiliaji wa maambukizi ya COVID-19 NSW kupitia simu

Afisa afanya ufuatiliaji wa maambukizi ya COVID-19 NSW kupitia simu Source: Kevin Dong

Maambukizi ya Coronavirus yana endelea kurekodiwa kote nchini Australia kila siku, na kulazimasha waliopatwa na virusi hivyo pamoja na watu wa karibu yao kujitenga kwa muda wa wiki mbili.


Je! kwa watu ambao wanajipata katika hali kuwa huenda ni watu wakaribu wa mtu ambaye amepatwa na coronavirus, ni taarifa gani ambayo huwa wanapewa, ni hatua gani huwa wana fuata punde baada yaku arifiwa kuhusu hali hiyo na watu hao huwa wanajihisije?

Idhaa ya Kiswahili ya SBS ilizungumza na mmoja wa watu hao, ambaye aliweka hazi masaibu aliyo pitia tokea alipo pokea taarifa kuwa lazima ajitenge kwa sababu ni mtu wa karibu wa aliyepatwa na COVID-19.

Bonyeza hapo juu kwa makala kamili.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service