Je utaratibu wakufanyiwa vipimo nakupata matibabu ya coronavirus ni upi?

CSIRO scientists research coronavirus in Victoria.

CSIRO scientists research coronavirus in Victoria. Source: AAP

Idadi ya watu watatu wamefariki nchini Australia, na takriban watu 100 wanakabiliana na virusi vya coronavirus nchini.


Katika sehemu ya pili yamahojiano haya yakujua zaidi kuhusu kiini cha virusi hivi na jinsi yakupata kinga, Idhaa ya Kiswahili ya SBS ilizungumza na mtaalam wa magonjwa yakuambukiza, anaye fanya kazi katika moja ya hospitali kubwa nchini Australia, ambako waathiriwa wa virusi hivyo wanapokea matibabu.

Mtaalam huyo alifafanua hatua ambazo mtu anastahili chukua, anapo jihisi anavirusi vya coronavirus, pamoja na mbinu zakujikinga dhidi ya maambukizi ya virusi hivyo vya coronavirus.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service