Katika sehemu ya kwanza yamahojiano haya yakujua zaidi kuhusu kiini cha virusi hivi na jinsi yakupata kinga, Idhaa ya Kiswahili ya SBS ilizungumza na mtaalam wa magonjwa yakuambukiza, anaye fanya kazi katika moja ya hospitali kubwa nchini Australia, ambako waathiriwa wa virusi hivyo wanapokea matibabu.
Je virusi vya coronavirus vime anzaje na madhara yake kwa mwili ni gani?

Virusi vya coronavirus Source: SBS
Idadi ya watu watatu wamefariki nchini Australia, na takriban watu 100 wanakabiliana na virusi vya coronavirus nchini.
Share