Jean D'amour "nikama nimezaliwa upya".

Mfanyakazi wa duka akagua cheti cha chanjo cha mteja mjini Sydney, Jumatatu, Oktoba 11, 2021

Mfanyakazi wa duka akagua cheti cha chanjo cha mteja mjini Sydney, Jumatatu, Oktoba 11, 2021 Source: AAP

Wakaaji jimboni NSW wameishi chini ya amri zakubaki ndani za Uviko-19 kwa zaidi ya siku 100, ila viongozi jimboni humo wali wapunguzia vizuizi baadhi ya wakaaji ambao wame pata chanjo kamili za Uviko-19.


Maelfu ya wakaaji wa NSW walio kuwa wame pata chanjo zote mbili za Uviko-19 walitazamia Jumatatu 11 Oktoba 2021, ambayo ilikuwa imebatizwa jina la "siku ya uhuru" kwa hamu sana. Hiyo ni siku ambayo wangeweza kutana namarafiki na jamaa wao tena pamoja nakupata huduma zote walizo kosa kwa zaidi ya siku 100.

Bw Jean D'amour ni mmoja wa wakaaji wa Sydney, ambao walikuwa wakisubiri siku hiyo ya ''uhuru'' kwa hamu, alizungumza na Idhaa ya Kiswahili ya SBS masaa machache baada ya watu walio kuwa wame pata chanjo zote mbili kuanza kujumuika katika jamii.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service