Donald Trump amesogea hatua moja karibu kuwa mwakilishi wa chama cha Republican katika uchaguzi wa rais nchini Marekani. Hali hii ime jiri baada ya ushindi wa Bw Trump katika uchaguzi wa mashinani katika eneo la Kusini Carolina. Licha ya ushindi thabiti wa Bw Trump mgombea wa chama cha Democrat, Bi Hillary Clinton ali ubuka na ushindi mwembamba dhidi ya mpinzani wake Bernie Sanders katika kura za Nevada.
Share





