Jinsi Australia inawapokea wanafunzi wakimataifa

University representatives hold signs as international students arrive at Sydney Airport in Sydney.

Mwakilishi wa chuo akiwa na bango linalo wakaribisha wanafunzi wakimataifa, katika uwanja wa Sydney, Australia. Source: AAP

Australia imefungua tena milango yake kwa wanafunzi wakimataifa, baada ya takriban miaka mbili ya vizuizi vya mipaka.


Hivi karibuni serikali ilitangaza baadhi ya hatua zakuregeza vizuizi kwa watu wenye viza za wanafunzi, baada yakuregezwa kwa mipaka kwa ajili yakurahisisha mchakato wakurejea kwa wanafunzi wakimataifa nchini Australia.

Wasafiri wote wanastahili tii masharti katika jimbo au wilaya wanamo wasili, na jimbo au wilaya nyingine ambako wanapanga kusafiri.

Kwa taarifa zaidi tembelea tovuti ya Idara ya maswala ya nyumbani, anwani yao ni: covid19.homeaffairs.gov.au/international-students


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Jinsi Australia inawapokea wanafunzi wakimataifa | SBS Swahili