Kiwango cha mfumuko wa bei nchini Australia kimepungua, lakini shinikizo la bei la msingi linabaki kuwa juu sana.
Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa
Takwimu hizo zinakuja huku utafiti mpya wa Benki Kuu ukionyesha Waaustralia wengi hawaelewi ni kwa nini viwango vya riba vinaongezeka, au jinsi vinavyokusudiwa kupunguza mfumuko wa bei.
Kiwango cha mfumuko wa bei nchini Australia kimepungua hadi asilimia 3.8, kutoka asilimia nne mwezi Mei na kidogo zaidi kuliko ilivyotarajiwa.
Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.
Share






