Jimbo la Kusini Australia huenda linakabiliwa na tukio la kwanza la vifo vingi vya wanyamapori nchini Australia linalohusishwa na homa ya ndege ya H5N1.
Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa
Zaidi ya ndege 80 wakubwa waliokufa wamepatikana kwenye kisiwa kilicho karibu na pwani ya Kusini Australia.
Kitaifa, serikali inasema virusi hivyo haviwezi kutokomezwa tena.
Ingawa hatari kwa afya ya binadamu bado ni ndogo, spishi za asili zinaweza kuathiriwa vikali.
Share






