Jinsi gani COVID-19 imetubadilisha tunavyo omboleza

Mwanaume aomboleza kando ya kaburi

Mwanaume aomboleza kando ya kaburi Source: Getty Images

Msiba katikati ya shida ya kiafya kidunia inazidisha hali mbaya ya kufiwa pale ambapo hatuwezi kumpa mpendwa wetu maziko mazuri.


Hivi ndivyo jinsi watu wanavyoelewa hisia za kuomboleza kwao ndani ya vizuizi vya COVID-19. Mwandishi wetu Frank Mtao hapo, akikamilisha taarifa ya Sarah Godfrey, mwanasaikolojia wa kliniki na mwenyekiti wa shirika la GriefLine.

Kwa ushauri wa bure wa uombolezaji au ushauri wa kukabiliana na kufiwa kwako, piga simu shirika la GriefLine. Kwa nambari nzuri ya kupiga kutoka jimbo lako au kitongoji chako, tembelea www.griefline.org.au Unaweza pia kupiga simu Beyond Blue kwa msaada wa karibu kupitia namba 1300 22 4636.

Ikiwa unahitaji msaada wa lugha, piga simu kwa Huduma ya kitaifa ya Utafsiri na Ukalimani kupitia namba 13 14 50.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service