Janga la COVID-19 lina endelea kusababisha maafa makubwa nchini Australia, na jamii yawatu wenye asili ya Afrika hawajapona janga hilo.
Mwanaume mmoja aliye ambukizwa virusi vya COVID-19 jijini Melbourne, alichangia uzoefu wake waku kabiliana nakushinda janga hilo katika mazungumzo maalum na Idhaa ya Kiswahili ya SBS.
Share






